logo

If It Sounds Too Good To Be True… It Probably Is!

A warning text graphic on situations or offers that seem unrealistic.

Knowing how to spot scams is the best way to identify scammers.

These days, it's hard to differentiate between a genuine opportunity and a scam.

You might come across online ads and social media posts that promise unbelievable returns and investment opportunities such as:

"Double chapaa in 24 hours" and "Get rich with crypto now!”

A visual of someone holding money

Zingine zina kuencrourage uinvest in vitu attractive kama gold, mashamba, properties and other things with promises za fast cash na kubadilisha life yako.

Mara mob hizi ads huwa accompanied by reviews kutoka ‘other investors’ wakidai vile wamebenefit na zile doh wamemake kwa hiyo opportunity.

Inaweza kuwa hard kuspot fake websites, ads reviews emails ama sms when zinakaa legit. Hii ndio guide yetu ya kuspot scams.

Signs za Potential Investment Scams

🤑 Social media ads zinaoffer chapaa mob super fast na risk kidogo- sometimes pushed by influencers ama maceleb.

📱 Kupigiwa simu na watu hujui, kupata sms ama dms kuhusu opportunity ya kuinvest.

⏰ Kupewa pressure umake decision haraka about investment bila time ya kuuliza maswali ama kufikiria juu ya options.

⏬ Kuambiwa utume files ama udownload vitu ili kupata access to an opportunity. Kampuni legit would never tell you to do this.

How To Avoid an Investment Scam

✅ Kwanza hakikisha that kampuni yenyewe ina exist. Unaweza uliza kama wasee wameiskia ama wanaijua.

🌐 Tafuta hiyo kampuni online na ucall msee independent kuconfirm number zao. Kama ni scam, wanaweza kuwa wamenasa watu wengine na wanaiongelea through reviews ama comments.

❌ Kataa simu na messages hujui kuhusu investment opportunities. Pia ni safe kuavoid messages zote automated

⏰ Chunguza opportunities in multiple ways. Bonga na beshte ama msee wa fam kuhusu opportunities unapata kuhakikisha zinakaa legit na reasonable.

Mara zingine unaweza pata umemeza story na watu wengine wanaona scam kutoka mbali.

🚨 Ukishuku umekua scammed, report immediately ama ucontact wasee irrelevant. Hizi vitu huhappen, na unawweza saidika ama kuprevent msee mwingine kuconiwa.

Tunahope hizi tips zitakusaidia kuspot ads na scams ziko too good to be true. Kaa safe!!

With 100% of young people needing to hustle, conmen wanapenda kutumia job scams ku-trick young people wa-join pyramid schemes.

So you’re hearing about all these Kenyans making money online and you’re wondering how to join them?